MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara
wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stand United katika mechi ya ligi kuu
soka Tanzania bara iliyomalizika jioni hii uwanja wa CCM Kambarage mkoani
Shinyanga.
Bao pekee la Azam fc limefungwa na kiungo Frank
Domayo ‘Chumvi katika dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza.
Hii ni mechi ya kwanza ya ligi kwa Domayo kuichezea Azam fc tangu asajiliwe majira ya kiangazi mwaka jana na ameanza vizuri kwa kufunga goli.
Hii ni mechi ya kwanza ya ligi kwa Domayo kuichezea Azam fc tangu asajiliwe majira ya kiangazi mwaka jana na ameanza vizuri kwa kufunga goli.
0 comments:
Post a Comment