Monday, January 5, 2015

P-Square and other African stars billed to perform at the 2014 Glo-CAF Awards
WAANDAAJI wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika “Glo-CAF Awards” wamethitisha kuwa wanamuziki nyota wa Afrika watatumbuiza siku hiyo.


Tuzo hizo zitafanyika januari 15 mwaka huu mjini Lagos, Nigeria ambapo msanii wa juu  wa Afrika, Flavour na msanii mkubwa wa Afrika kusini Hugh Masekela watatoa burudani kali.


Wasanii wa Hip Pop mapacha P-Square nao watapanda jukwaani baadaye wakati tuzo hiyo ya mchezaji bora ikitolewa ambapo inawaniwa na wachezaji watano , Vincent Enyeama, Ahmed Musa,Yaya Toure, Pierre-Emerick Aubameyang na nyota wa kimataifa wa Ghana, Asamoah Gyan.


 
Pia Fally Ipupa, Mwimbaji wa Misri, Hakim; Kikundu maarufu kwa kwaya cha Soweto cha Uhuru; pan-African group,Cirque Afrique na mkali wa Bongo Fleva wa Tanzania  Diamond ni baadhi ya wasanii watakaotumbuiza.



Msanii wa Nigeria wa RnB,  Wande Coal, afrobeat Icon, Lagbaja na Balozi wa Glo, Omawumi nao watatumbuiza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video