Monday, January 12, 2015


GALA HIGHLIGHTS
FIFA BALLON D'OR WINNER: 
Cristiano Ronaldo
FIFA WOMEN'S WORLD PLAYER OF THE YEAR: 
Nadine Kessler
FIFA PUSKAS AWARD: 
James Rodriguez
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR MEN'S FOOTBALL: 
Joachim Low
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR WOMEN'S FOOTBALL: 
Ralf Kellermann
WORLD XI: 
Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben
FIFA PRESIDENTIAL AWARD: 
Hiroshi Kagawa
FIFA FAIR PLAY AWARD: FIFA Volunteers

MWANASOKA BORA NI DUNIA NI FIFA BALLON D’OR  2014 NI
CRISTIANO RONALDO

FIFA BALLON D’OR 2014: THE WINNER

CRISTIANO RONALDO
Portugal
PORTUGAL
KURA ZILIKUWA HIVI
FIFA  2014 winner @Cristiano received 37.66% of all votes ahead of Lionel Messi (15.76%) & @Manuel_Neuer (15.72%).
………………………………….

SASA MUDA TULIOSUBIRI WOTE UMEFIKA.

Thierry Henry  anapanda stejini kumtaja mwanasoka bora wa dunia  Ronaldo, Messior Neuer?

…………………………………………………………………………………………….

MCHEZAJI BORA WA MWAKA KWA SOKA LA WANAWAKE MSHINDI NI: NADINE KESSLER

Nadine KESSLER

……………………………………………

TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA: MSHINDI

  • James RODRIGUEZ

  • Colombia
    COLOMBIA
 KURA ZILIKUWA HIVI
FIFA PUSKAS AWARD VOTING BREAKDOWN
James Rodriguez (42%)
Stephanie Roche (33%)
Robin van Persie (11%)
………………………………………….
TOGETHER #WECANBEATEBOLA
Christian Karembeu akiwa stejini kutoa tuzo ya goli bora la mwaka na kwanza ameanza kwa kuzungumzia kampeni ya kuzuia 
 Ebola.
……………………………………………………..
LIONEL MESSI
Anazungumza muda huu
…………………………………………………….
MPAKA SASA WASHINDI WALIOPATIKANA
WORLD XI: Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben
FIFA PRESIDENTIAL AWARD: 
Hiroshi Kagawa
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR WOMEN’S FOOTBALL: Ralf Kellermann
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR MEN’S FOOTBALL: Joachim Low
FIFA FAIR PLAY AWARD: FIFA Volunteers
…………………………………………………………..
 FIFA FAIR PLAY AWARD
FIFA VOLUNTEERS, at all FIFA tournamentsAmeshinda katibu mkuu wa FIFA  Jérôme Valcke 
…………………………………………….

KOCHA BORA SOKA LA WANAUME MWAKA 2014: MSHINDI NI JOACHIM LOW

LOEW Joachim
Germany
GERMANY
 Joachim Löw received 36.23% of all votes. @MrAncelotti – 22.06%. @Simeone – 19.02%. http://fifa.to/Zhwyck

………………………………………….

KOCHA BORA WA SOKA LA WANAWAKE MWAKA 2014 AMESHINDA MJERUMANI

KELLERMANN Ralf
Germany
GERMANY
Ralf Kellermann received 17.06% of all votes. Maren Meinert – 13.16%. Norio Sasaki – 13.06%.
 …………………………
Sun Wen na Ottmar Hitzfeld (ambao wana miaka 66 leo) wanajiandaa kupanda stejini kumtaja kocha bora wa mwaka kwa soka la wanawake.
…………………………………………………………..
UJUMBE WA RAFAEL NADAL KWA  CRISTIANO RONALDO
“I want to congratulate you on the year you’ve had. I consider your drive and desire to improve on a daily basis a fantastic example for the younger generations.”
……………………………………………
RONALDO KWENYE STEJI
Mshindi wa tuzo hiyo ya mwaka 2013 FIFA Ballon d’Or  anazungumza muda huu.
…………………………………..
TUZO YA RAIS WA  FIFA PRESIDENTIALMwandishi wa habari wa Japan,  Hiroshi Kagawa amepokea tuzo kutoka kwa Rais wa FIFA, Blatter. Mwandishi huyo mkongwe ameripoti fainali za 10 za kombe la dunia nchini Brazil 2014. Anaungana na watu wa heshima kama PeleSir Alex Ferguson na FranzBeckenbauer katika tuzo hiyo ya Rais wa FIFA
………………………………………….
WASHINDI WA KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 WA FIFA FIFPRO :
  • GK Manuel NEUER
  • DF Sergio RAMOS
  • DF THIAGO SILVA
  • DF DAVID LUIZ
  • DF Philipp LAHM
  • MF Andres INIESTA
  • MF Toni KROOS
  • MF Angel DI MARIA
  • FW Lionel MESSI
  • FW CRISTIANO RONALDO
  • FWArjen ROBBEN
KIKOSI CHA FIFA FIFPRO WORLD XI
Kipa: Manuel Neuer
Mabeki: hilipp Lahm, Sergio Ramos, David Luiz, Thiago Silva
Viungo: Angel Di Maria, Toni Kroos, Andres Iniesta
KIPA BORA: Manuel Neuer
BAO BORA
Muda huu Bao bora la mwaka, wachezaji watatu wanashindana,  Stephanie Roche, James Rodriguez na Robin van Persie. 
………………………………………………….
PRESIDENT BLATTER SPEAKS OF SOLIDARITY
Rais wa FIFA President Blatter
 anahutubia kwa kifaransa akisitiza umoja katika soka kutokana migogoro ya karibuni iliyosumbua soka la dunia
………………………………………………………………………..
MAMBO YAMEANZA
Muda huu Mshereheshaji Kate Abdo ameanza Kongresshaus mjini Zurich. Anamkaribisha raisa wa FIFA  Blatter jukwaani.
…………………………………….
MESSI AKIWA KWENYE MIRRORSio mbaya kusaini jina lake katika Twitter Mirror ya FIFA jioni hii. Mwanafainali wa! Ballon d’OrLionel Messi alisaini muda mfupi huu kabla ya kuanza tuzo
View image on Twitter
………………………………………………….
STREAM IMEKATA
FIFA wanasema kama unaendelea kuangalia moja kwa moja Ballon d’Or Gala katika mataifa yafuatayo, kwa bahati mbaya   live video stream haitakuwepo. Usijali, wataendelea kukupa taarifa kupitia  live blog text.

USA, France, Japan, Algeria, Bahrain, Comoros, Djibouti, Egypt, Iran, Iraq, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen
………………………………………………
Messi na Ronaldo wanasaini vitbu vya kumbukumbu vya mashabiki waliohudhuria wakati wa red Capert muda huu. Wamepokelewa kwa shangwe kubwa mno. Ameanza Messi akafuatiwa na Ronaldo
View image on Twitter
……………………………………………………………………………………………
SQUARING OFFNani atashinda vita ya mwanasoka bora wa soka la wanawake:  Abby Wambach or Nadine Kessler? ua Marta?
View image on Twitter
……………………………………………………………
MARTA AT THE MIRRORMchezaji bora mara tano wa dunia kwa soka la wanawake Marta ndiye nyota wa mwisho kusaini kwenye Twitter Mirror. 
View image on Twitter
…………………………………..
D WATATU
Alessandro Del Piero, Diego Simone na Angel Di Maria wote wapo red Carpet muda huu wakisaini vitabu vya kumbukumbu vya mashabiki waliohudhuria
……………………………
ROCHE TO WRITE HER NAME IN HISTORY?
Puskás Award nominee Stephanie Roche amesaini katika Twitter Mirror ya FIFA
.View image on Twitter
……………………………
Wayne Rooney naye anatazama tuzo hizi jioni hii
James Rodriguez ameshafika kwenye  Pati
…………………………………………………………………………..
 REDI CARPET IMEANZA-TWITTER MIRROR
Mwanafainali wa kocha bora wa mwaka kwa soka la wanawake Maren Meinert na Ralf Kellermann ndio wa kwanza kusaini Twitter Mirror.
View image on Twitter
……………………………………………………………………………………………………………..
KIJIBARIDI HAPA ZURICH
Muda huu Zurich kumetulia, lakini mashabiki wanasubiri kwa hamu red Carpet…twende pamoja
View image on Twitter
………………………………………………………………………………….
MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI UMEMALIZIKA
Wanafainali wa mwisho wa Ballon d’Or wamezungumza na vyombo vya habari. Tutakuletea ‘Laivu’ red carpet kuanzia majira ya saa 1:00 usiku.
LIONEL MESSI

“Alichofanya Cristiano Ronaldo msimu huu kiukweli kinavutia sana. Alikuwa na mwaka mzuri sana”
MESSI KUHUSU 2015
“Kila mwaka tuna malengo yaleyale. Tunahitaji kushinda kila kombe tunalocheza. Ngumu, lakini tunapiga. Nikiwa na klabu, na baada ya hapa tutakuwa na Copa America na Argentina. Baada ya kombe la dunia labda tunaweza kufarahia na kombe hili”
 CRISTIANO RONALDO
“Ingekuwa vizuri kama wote tungekuwa katika timu moja: wakati ndio unaamua. Magwiji wa mpira waliopita, wachezaji wakubwa na wa kukumbukwa Ureno. Nadhani lingekuwa jambo zuri kama wawili wangeungana na mimi katika timu yangu”
CRISTIANO RONALDO KUHUSU TEKNOLOJIA KWENYE MPIRA WA MIGUU.
“Kila kitu kinachosaidia kuufanya mpira uwe mzuri ni kizuri na muhimu katika mchezo huo.
 MANENO YA MANUEL NEUER
“Imekuwa ngumu sana kushinda (kombe la dunia). Brazil walifanya maandalizi makubwa, ilikuwa furaha sana kucheza pale. Kiukweli unaposhinda inakuwa jambo zuri sana” 
 ………………………………………………………………………………………….
MANENO YA LIONEL MESSI
“Watu walifurahia mashindano. Nilikuwa na malengo na Argentina, tulisafiri sana na hatukupata tatizo lolote. Michuano ilikuwa mizuri kwetu mbali na matokeo ya fainali.
……………………………………………………………………..
MANENO YA CRISTIANO RONALDO
“Nadhani zilikuwa fainali nzuri za kombe la dunia. Zilipangwa vizuri, ziliendeshwa vizuri. Timu bora ilishinda, Ujerumani. Kwa Ureno hazikuwa fainali nzuri. Kitu kizuri ni kwamba kila kitu kilienda vizuri.
Kulikuwa na sababu nyingi za kimchezo. Nadhani Ujerumani ndio walikuwa na rekodi nzuri, walikuwa fiti. Ureno walifanya makosa na na tunaamini mambo yatakwenda vizuri wakati mwingine.
View image on Twitter
Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Manuel Neuer tayari kuanza mkutano na waandishi wa habari
………………………………………………………………………
Muda huu jukwaa la The Ballon d’Or limekamilika.
……………………………………………………………
View image on Twitter
Carlo Ancelotti ame-tweet baada ya kuwepo kwenye jukwaa akisema:
“Nikiwa Zurich kubadilisha mawazo na makocha wawili wakubwa kabla ya tuzo ya  
……………………
WANAOWANIA TUZO WAINGIA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Manuel Neuer hivi punde wanaanza mkutano na waandishi wa habari.
……………………………………………………………………
JOACHIM LOW AKIMZUNGUMZIA MANUEL NEUER MUDA HUU.
“Manuel Neuer ameonesha kiwango kikubwa. Alikuwa msaada katika ushindi wetu. Ameleta changamoto mpya ya kulinda lango, kitu ambacho hatukuwahi kuona nyuma. Ni mchezaji anayeweza kufanya kazi nzuri nje ya Boksi. Ni mchezaji anayestahili kushindi. Kwa kuzingatia vitu vyote, wote watatu wanastahili tuzo.”
………………………………………….
KOCHA BORA WA MWAKA WA FIFA KWA SOKA LA WANAUME
Tuzo hii kwa mara ya kwanza ilitolewa mwaka 2010 ambapo Jose Mourinho alikuwa wa kwanza kushinda akiwa Inter Milan. 2011 Pep Guardiola alishinda akifuatiwa na Vicente Del Bosque mwaka 2012 na anayeshikilia tuzo hiyo ni  Jupp Heynckes.
…………………………………………………………
MKUTANO NA WANAHABARI: KIPI KINAMFANYA MTU KUWA KOCHA BORA?
CARLO ANCELOTTI
“Kitu muhimu ni kufanya kazi kwa bidii,, uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja. Ni jitihada kubwa. Lazima mtu awe mvumilivu”.
JOACHIM LOW
“Nadhani kocha anahitaji kuwa mwana saikolojia. Kuiweka pamoja timu. Naamini kuwa haya ndio majukumu makubwa ya kocha, kuona ni watu wa aina gani unao”
DIEGO SIMEONE
“Ningependa kuzungumzia kuhusu ushindani wa ndani kuwa ndio kitu muhimu. Kuwa katika kikosi kinachoanza, ndipo unawaona wachezajinwako. Kuwa katika makombe, ligi na ligi ya mabingwa. Njia bora ni kuwa tayari kuwa na ushindani wa ndani ya timu”.
……………………………………………………………..
SIMEONE KARIBU ANACHUKUA NAFASI YAKE
Diego Simeone ambaye anawania tuzo ya kocha bora wa mwaka katika mpira wa wanaume anakaribia kujiunga na wapinzani wake wengine
 Carlo Ancelotti na Joachim Low kwenye mkutano na waandishi wa habari. Tayari alishapiga picha yake.
View image on Twitter
View image on Twitter
CRISTIANO RONALDO YUPO KWENYE NDEGE
Nyota anayetetea tuzo yake, Christiano Ronaldo yupo njiani kuja Zurich na muda si mrefu atawasili hapa.
4
Wachezaji wa FC BAYERN Manuel Neuer pamoja na Arjen Robben wapo kwenye ndege ya kukodi kuja hapa Zurich kwenye tuzo,Neuer anawania tuzo ya mwanasoka bora pamoja na kina Ronaldo na Messi.
wakati Robben amechaguliwa kwenye kikosi bora cha mwaka.
3
Kocha wa zamani wa Fc Bayern Munich na Borussia Dortmund Otmar Hizzified anampa nafasi Mjerumani mwenzake Neuer kubeba tuzo ya Ballon D’Or.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video