Sunday, January 18, 2015

,.
GETAFE 0-3 REAL MADRID - Kutoka uwanja wa PETE JENSON AT THE ALFONSO PEREZ COLISEUM:

 Cristiano Ronaldo ameandika historia nyingine katika  kitabu cha rekodi cha Real Madrid baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa 3-0 waliovuna dhidi ya Getafe jioni kwenye mechi ya La Liga.
Hakuna mchezaji yoyote katika historia ya Real aliyefunga magoli mengi ya ugenini kumzidi Ronaldo ambaye amefunga mabao 27 na 28 katika msimu wa ligi.
Gareth Bale pia aliifungia Real Madrid dakika za lala salama, ingawa wakali hao wa Bernabeu walikwenda mapumziko bila kufunga goli.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video