Wednesday, January 28, 2015

Okwi (wa kwanza kushoto waliosimama), Elius Maguli (watatu kushoto waliosimama), Kessy (wa kwanza kushoto waliinama), Ndemla ( watatu kushoto walioinama) hawapo katika kikosi cha kwanza leo

KOCHA mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic amemuanzisha beki mkongwe wa kulia na nahodha wa zamani wa Simba, Masoud Nassor ‘Cholo’ katika kikosi kinachopambana na Mbeya City fc jioni hii, mechi ya ligi kuu Tanzania bara.

Cholo ameanza kutokana na beki wa kulia chaguo la kwanza kwa sasa, Hassan Ramadhan Kessy kusumbuliwa na majeruhi.

Kopunovic amemsimamisha golini kipa kinda, Manyika Peter Jr, beki wa kulia ni Cholo wakati kushoto ameendelea kusimama Mohamed Hussein ‘Tshabalala’.

Mabeki wa kati ni HassaN Suleiman Isihaka na Juuko Mursheed. Kiungo wa ulinzi ni Jonas Gerrard Mkude, wakati winga ya kulia ameanza Simon Sserunkuma.

Dimba la kati juu ameanza Awadh Issa Juma, mshambuliaji wa kati ni Danny Sserunkuma,na nyuma yake ameanza Ibrahim Hajib ‘Mido’. Winga ya kushoto ameanza Ramadhan Singano ‘Messi’.

Wachezaji wa akiba: Ivo Mapunda, Abdi Banda, Wiliam Lucian, Abdallah Seseme, Elius Maguli, na Ibrahim Twaha.


Wachezaji wanaokosa mechi ni Emmanuel Okwi, Said Hamis Ndemla na Hassan Kessy.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video