Wednesday, January 28, 2015

.
CHELSEA imefanikiwa kutinga fainali ya kombe la Ligi 'Capital One Cup' kufuatia kuifunga Liverpool bao 1-0 katika mechi ya marudiano ya nusu fainali iliyopigwa jana usiku uwanja wa Stamford Bridge.
Bao pekee la usiku za Ivanovic (dakika ya 94) limetosha kuwapa raha mashabiki wa kikosi hicho kinachonolewa na Jose Mourinho.
Mechi ya kwanza iliyopigwa Anfield wiki iliyopita, timu hizo zilitokasare ya 1-1 na kwa matokeo ya jana Chelsea wanasonga kwa wastani wa mabao 2-1.
Chelsea anamsubiri Shiffield United au Tottenham Hospurs ambao wanakutana leo katika nusu fainali ya pili.
Mechi ya fainali itapigwa uwanja wa Wembley.
MATOKEO YA JANA

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video