Thursday, January 1, 2015

SPURS_CHELSEA BANNER 4.jpg
MAISHA ya mpira hayatabiriki..wakati Arsenal wanaomboleza ‘kilio’ cha kupigwa 2-0, Man City wakishangilia ushindi wa 3-2, Man United wakijifariji kwa sare ya 1-1, Chelsea wao mwaka mpya umekuwa mchungu zaidi ya kawaida.

Kikosi hicho cha Jose Mourinho, pengine kocha mwenye maneno mengi zaidi duniani kimepigwa mabao 5-3 na Watukutu wa London, Tottenham Hospur.

Magoli ya Spurs yamefungwa na Kane 30, 52; Rose 44; Townsend 45 (pen); Chadli 78 .


Mabao ya Chelsea yametiwa kambani na Costa 18; Hazard 61; Terry 87


BAADA YA MECHI ZA LEO MSIMAMO WA EPL UMEKUWA HIVI

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video