USIKU wa leo majira ya saa 4:45 kwa saa za Afrika
mashariki, Uwanja wa Stamford Bridge mjini London unawaka moto kwa
kuwakutanisha wenyeji Chelsea dhidi ya Liverpool katika mechi ya marudiano ya
nusu fainali ya kombe la ligi ‘Capital One Cup’.
Mechi ya kwanza iliyopigwa wiki iliyopita uwanja
wa Anfield, timu hizi mbili zilitoka sare ya bao 1-1.
Timu zote zinahitaji ushindi ili kutinga fainali
ya Capital One.
0 comments:
Post a Comment