CHELSEA leo wanaikaribisha Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge na timu hizi mbili zimekuwa na kiwango kizuri msimu huu.
Mechi hii inayoanza saa 2:30 usiku inatarajia kuwa na msisimko mkubwa kutokana na ubora wa wachezaji wa timu zote.
The Blues chini ya Jose Mourinho itamkosa Cesc Fabregas anayesumbuliwa na majeruhi pamoja na Diego Costa aliyefungiwa mechi tatu.
Man City chini ya Manuel Pellegrini wanamkosa Yaya Toure ambaye anaitumikia Ivory Coast katika michuano ya kombe la mataifa ya Africa inayoendelea nchini Guinea ya Ikweta.
RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO EPL HII HAPA
15:45
18:00
18:00
18:00
18:00
18:00
18:00
20:30
0 comments:
Post a Comment