Saturday, January 31, 2015

KATIKATI ya wiki hii Mbeya City fc iliichapa Simba mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara.
Simba walikuwa wa kwanza kufunga  goli kipindi cha kwanza kabla ya Hamad Kibopile kusawazisha kipindi cha pili na hatimaye Yusuph Abdallah kufunga la ushindi kwa mkwaju wa penalti.
Penalti hiyo ilipatikana katika dakika 3 za nyongeza na baada ya tuta hilo kupigwa, ndani ya dakika 1 kabla ya mechi kumalizika Simba walishambulia na Jonas Mkude alijiangusha na mwamuzi kutoa penalti ambayo Masoud Nassor Cholo alikosa.
Hetu tazama picha hii, kweli ilikuwa penalti???

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video