Thursday, January 8, 2015


Wachezaji wa Simba na kiongozi wao, Salim Swaka (aliyejishika tama) wakitazama mechi ya robo fainali ya nne na ya mwisho ya kombe la Mapinduzi 2015 inayoendelea muda huu uwanja wa Amaan mjini Zanzibar baina ya Yanga na JKU ya Zanzibar. 
Simba wameshatinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya jana usiku kuilaza Taifa ya Jang'ombe mabao 4-0 na watakutana na Polisi ya Zanzibar katika mchezo wa nusu fainali kesho kutwa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video