Martin Odegaard na Gareth Bale wakifanya mazoezi leo asubuhi
NYOTA kinda wa Norway, Martin Odegaard ameanza safari katika klabu ya Real Madrid akifanya mazoezi kwa mara ya kwanza na timu ya kwanza.
Kijana huyo mwenye miaka 16 amefanya mazoezi ya kutafuta kasi na Gareth Bale kwenye uwnaja wa mazoezi wa Madrid asubuhi ya leo asubuhi.
Bale akifanya mazoezi na kijana aliyejiunga na Real Madrid wiki iliyopita
Bale alimfundisha Odegaard namna ya kutafuta kasi
0 comments:
Post a Comment