Thursday, January 8, 2015

IMG_0265
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro akiongea na waandishi wa habari leo mjini Zanzibar katika kambi ya klbu hiy iliyopo Hoteli ya Zanzibar Ocean View

KLABU ya Yanga imetengaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake Juma Kaseja kwa madai kuwa Tanzania One huyo wa zamani hajaonekana klabuni  kwa majuma matatu.

Mkuu wa Idara ya habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amekutana na waandishi wa habari leo mjini Zanzibar na kueleza kuwa kitendo hicho cha Kaseja kimemfanya avunje mwenyewe mkataba wake na klabu hiyo yenye maskani yake makutano ya Twiga na Jangwani , Kariakoo, Dar es salaam.


Katika hatua nyingine, Yanga imekanusha madai ya kushindwa kumlipa Kaseja milioni 20 ambayo ni sehemu ya fedha za usajili wake wakidai walishamlipa kabla ya kupeleka barua ya madai.


Taarifa rasmi inakujia……

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video