Mario Balotelli (katikati) ali-posti picha Instagram akiwa na marafiki zake katika mgahawa wa San Carlo Mjini Manchester
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mario Balotelli aliikosa mechi ya jumamosi Liverpool ikishinda 2-0 dhidi ya Aston Villa kutokana na kuwa mgonjwa, lakini haikumzuia kwenda viwanja na maswahiba wake jana jumapili.
Balotelli alionekana katika mgahawa wa San Carlo katikati ya mji wa Manchester, na aka-posti picha Instagram... akiwa na glasi ya Cocacola.
Balotelli (kulia) akiwa na marafiki zake jana jioni
0 comments:
Post a Comment