Tuesday, January 6, 2015

kavu
Azam FC imefanikiwa kumaliza mchezo wa hatua ya makundi kwa ushindi baada ya kuichapa Mtende bao 1-0 katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi.
Katika mchezo huo uliomalizika muda mfupi kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja,Zanzibar bao pekee la Azam limefungwa na mshambuliaji Didier Kavumbagu alieingia kwa mabadiliko katika dakika 26 akichukua nafasi ya kinda Kelvin Friday.
Kavumbagu ambaye pia ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara,alifunga bao hilo safi akimalizia krosi nzuri Brian Majwega na kuipa ushindi huo ikiwa ni mchezo wake wa kwanza akitokea kuwa majeruhi.
Matokeo hayo sasa Azam wanalazimika kumaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili katika msimamo wa kundi hilo litakaloongozwa na mabingwa watetezi KCCA ya Uganda wakipata faida ya tofauti ya mabao lakini zote zikiwa na pointi saba.
Azam sasa watakutana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa hatua ya Robo fainali utakaopigwa kesho saa 2:15 usiku.
Yanga ambayo ni vinara wa kundi A ambao muda huu wapo uwanjani wakimalizia mechi ya mwisho katika hatua ya makundi watakutana na JKU mchezo utakaopigwa Alhamisi saa 2:15 usiku.
finite
Shilingi yarushwa kuamua nani mvae Simba
Katika hali iliyowavutia wengi katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kumetokea tukio la kufurahisha baada ya timu mbili kufungana kwa kila kitu na baadaye shilingi.
Timu za Polisi na Taifa Jang’ombe ndizo zilizolazimika usiku huu kurushiwa shilingi baada ya zote kumaliza mechi zao za hatua ya makundi zikiwa na pointi nne zikishinda moja na kupoteza moja na kutoa sare moja.
Polisi na Taifa zote zilikubali kipigom kinacholingana kwa kuchapwa mabao 4-0 dhi ya Yanga kwa nyakati tofauti huku zote zikiifunga Shaba FC bao 1-0 kabla ya leo jioni kutoa suluhu baada ya kukutana zote mbili
Hatua hiyo ya kurushwa shilingi klabu hizo zitalazimika kuzigombea timu mbili ambapo matokeo hayo yataamua moja ya timu hizo kukutana na Simba au KCCA ambazo zimeongoza makundi yao Simba ikiutoka kundi C huku KCCA ambao ni mabingwa watetezi wakitoka kundi 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video