
AZAM FC imefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi
katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga tayari kwa mechi ya ligi kuu
Tanzania bara itakayopigwa kesho dhidi ya Stand United.
Taarifa rasmi kutoka ukurasa wa facebook wa Azam
fc imeeleza kuwa wachezaji woete 22 waliosafiri na timu wamefanya mazoezi.
0 comments:
Post a Comment