ARSENE WENGER amemaliza biashara ya usajili wa dirisha dogo kufuatia kuinasa saini ya Gabriel Paulista.
Dirisha dogo la usajili linafungwa jumatatu ijayo usiku, lakini kufanikiwa kumsajili Gabriel na Krystian Bielik, Wenger - ambaye amesema kuwa Francis Coquelin ana asilimia 99 za kusaini mkataba mpya--kitabu chake cha hundi ya usajili bado kipo wazi.
"Kama naamka asubuhi na kumkuta mtu amesimama mbele ya mlango wangu ambaye ni mchezaji mwenye sifa za pekee, nitafungua mlango,".
Wenger alisema:"Bado sijamaliza kabisa. Naweza kutoa anuani yangu kama mnataka"
0 comments:
Post a Comment