Sunday, January 25, 2015



klabu ya washika mitutu wa london Arsenal imefanikwa kutinga hatua inayofuata ya michuano ya kombe la FA baada ya kuiangamiza klabu ya Brighton kwa mabao matatu kwa mawili ugenini huku shukrani za pekee zikimwendea kiungo mshambuliaji Thomas Rosicky aliyefunga bao la ushindi katika dakika ya hamsini na tisa ya mchezo huku magoli mengine yakiwekwa kimyani na Theo Walcott pamoja nae Mesut Ozil


Majirani zao wagonga nyundo wa London West Ham United nao walifanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila dhidi ya Bristol city, bao hilo likifungwa dakika ya 81 na Diafra Sakho.


na katika mchezo mwingine ikiishuhudia Aston Villa ikiutumia vyema uwanja wake wa nyumbani ikitoka nyuma na kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya AFC Bournemouth, magoli ya Villa yakifungwa na Carles Gil pamoja nae Andreas Weimann huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Bournemouth likifungwa na Callum Wilson.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video