Saturday, January 10, 2015

DSC03839
Ame alipokuwa anafanya mahojiano maalumu na mwandishi wetu mchana wa leo 

MSHAMBULIAJI hatari wa Mtibwa Sugar, Mzanzibar, Ame Ally 'Zungu' anasumbuliwa na wanawake wengi wakati huu jina lake linavuna katika soka la Tanzania.

Akizungumza na mtandao huu katika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar ambapo Mtibwa imeweka kambi, Ame amesema kabla hajawa maarufu wanawake hawakumsumbua, lakini tangu aanze kupata fedha za mpira imekuwa shida kwake.

“Lalalala! ‘mademu’ wanasumbua sana! Lakini mimi nina akili. Najiuliza mbona wakati sina kitu hawakuwa wengi, sahizi nina kitu wanasumbua, hawa wanataka vitu tu wala hawana mapenzi ya kweli” Alisema Ame.

Ame aliongeza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja anayeitwa Amina.


“Nimeoa na nina mtoto mmoja wa kike anaitwa Amina, kila ninachofanya ni kwaajili ya mwanangu, nafikiria sana maisha yake ya baaday e,hivyo ni lazima nijitume sana na kumuomba Mungu” Amesema Ame Aly.



Akizungumzia penati aliyoikosa katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Azam FC, Ame amekubali kuwa huwa hana bahati na kufunga penati toka nyuma lakini amesema kuwa, hakuna mjanja katika penati hivyo ili uweze kufunga lazima uwe na mazoezi ya mara kwa mara.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video