Wednesday, January 28, 2015

TIMU za Taifa za Algeria na Ghana zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa ya AfrikA, afcon 2015 linaloendelea kutimua vumbi huko Guinea ya Ikweta.

Algeria waliifunga Senegal mabao 2-0 na kufikisha pointi saba kileleni mwa kundi C, wakati Ghana wamefuatia kwa pointi sita kufuatia kuifunga Afrika kusini mabao 2-1.
Bafana Bafana wamemaliza wa mwisho kwa kujikusanyia pointi tatu, wakati Senegal wao wamemaliza nafasi ya tatu kwa kujikusanyia pointi nne.
MATOKEO

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video