AFRIKA nzima inatupia macho nchini Guinea ambapo michuano mikubwa ya mataifa ya Afrika inaanza kutimua vumbi kwa mechi mbili za kundi A.
Mechi ya kwanza itakayoanza majira ya saa 1:00 usiku itawakutanisha Guinea ya Ikweta dhidi ya Congo na baadaye usiku majira ya saa 4:00 usiku Burkina Faso watachuana na Gabon.
RATIBA YA MECHI ZA LEO HII HAPA
Africa Cup of Nations - Group A | |||
---|---|---|---|
19:00 | ? - ? | ||
22:00 | ? - ? |
0 comments:
Post a Comment