Mzunguko wa pili wa makundi katika michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika umeanza kwa timu za kundi A kuchuana.
Mechi ya mapema ilishuhudiwa wenyeji Guinea ya Ikweta waliotoka sare ya 1-1 na Congo katika mechi ya ufunguzi, wamepata suluhu (0-0) dhidi ya Burkina Faso.
Mechi ya pili Gabon walioifunga Burkina Faso 2-0 mechi ya ufunfunguzi, nao wamefungwa goli 1-0 dhidi ya Congo Brazil.
MATOKEO YAKO HIVI
January 21
FT
FT
RATIBA YA LEO KUNDI B
January 22
19:00
? - ?
22:00
? - ?
0 comments:
Post a Comment