ROBO fainali ya kombe la mataifa ya leo inaanza kushika kasi leo usiku kwa mechi mbili kupigwa.
Mapema saa 1:00 usiku, Congo wanachuana na Congo DR kutafuta safari ya nusu fainali.
Baadaye saa 4:30 usiku, miamba ya soka kaskazini mwa Afrika inashuka dimbani kuoneshana kazi na wenyeji Guinea ya Ikweta.
RATIBA HII HAPA
19:00
? - ?
22:30
? - ?
0 comments:
Post a Comment