Friday, December 5, 2014

IMERIPOTIWA kuwa beki wa zamani wa Simba na Coastal Union, Juma Nyosso amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Mbeya City.

Taarifa zinaeleza kuwa Nyosso aliyekaa bila timu kwa miezi mitano tangu aachane na Wagosi wa Kaya tayari alishatua Mbeya kuanza kazi.

Afisa habari wa Mbeya City, Dismas Teni alisema taarifa rasmi ya nani amesajiliwa na nani ameachwa itatolewa desemba 10 mwaka huu mara baada ya kikosi cha timu hiyo kurudi Mbeya kutokea Songea-Ruvuma.


Wagonga nyundo hao wa Mbeya waliwasili jana Mjini Songea ambapo wanatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya JKT Mlalale na Maji Maji FC zinazoshiriki ligi daraja la kwanza na watakipiga na vinara wa ligi kuu Mtibwa Sugar ya Morogoro.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video