Tuesday, December 2, 2014

10252170_687483501367209_1277751060858781438_n
BEKI wa kushoto wa Simba SC, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema kuna changamoto kubwa kukipiga timu kongwe na zenye mashabiki lukuki.
Akizungumza  na mtandao huu katika mazoezi ya Simba yanayoendelea maeneo ya Chang’ombe Dar es salaam, Tshabalala amesema Simba ni timu kubwa yenye wachezaji wengi, lakini anajituma katika mazoezi kuhakikisha kuwa anaendelea kumshawishi bosi wake Patrick Phiri.

“Kuna changamoto ya kiuchezaji, Simba ni timu kubwa. Najituma kuhakikisha naendelea kucheza katika kikosi cha kwanza”. Alisema Tshabalala.


“Malengo yangu ni kufika mbali, napenda sana kuondoka hapa nilipo na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video