Monday, December 29, 2014

MSHAMBULIAJI wa Hispania, Fernando Torres amekubaki kurudi kwa mkopo Atletico Madrid kutokea klabu yake ya sasa ya AC Milani mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015-16, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na mabingwa hao wa La Liga.

Torres atarudi katika klabu yake hiyo aliyokulia ikiwa imepita miaka saba na nusu.

Nyota huyo mwenye miaka 30 amekumbwa na ukame wa magoli tangu alipojiunga na Chelsea kutoka Liverpool mwaka 2011 na alienda kwa mkopo AC Milan mwezi wa nane mwaka huu.


Chelsea na Milan zilikubaliana jumamosi kufanya usajili wa kudumu na kutoa mwanya kwa Torres kujiunga na Atletico kwa mkopo ambapo ataanza kujijenga upya chini ya kocha mwenye mvuto klabuni hapo, Diego Simeone.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video