Friday, December 5, 2014

MFUNGAJI bora wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu uliopita, Amiss Tambwe amesema anaweza kutetea kiatu chake cha dhahabu kwani ligi bado ‘mbichi’.
Tambwe ambaye anaendelea kujifua katika mazoezi ya timu yake ya Simba amesema yeye malengo yake ni kufunga ingawa changamoto imeongezeka kwake.

“Mpaka sasa nina goli moja tu, lakini nikicheza mechi tatu zijazo nina uhakika wa kufunga mabao mawili mawili. Najiona kuwa fiti zaidi kutokana na mazoezi ya Gmy tuliyofanya na yanayoendelea sasa”. Alisema Tambwe.


Nyota huyo aliyefunga mabao 19 msimu uliopita aliongeza kuwa mashabiki wa Simba waendelee kuwaunga mkono kwani sasa wanajipanga kuwafurahisha zaidi baada ya kupitia kipindi cha mpito.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video