Monday, December 29, 2014

WEKUNDU wa Msimbazi Simba SC wamethibitisha kushiriki Kombe la Mapinduzi litakaloanza kutimua vumbi januari mosi mwakani visiwani Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu ‘Perez’ amesema klabu hiyo ina uhusiano wa karibu zaidi na chama cha soka Zanzibar (ZDFA), hivyo watapeleka kikosi cha kwanza.

Kaburu aliongeza kuwa leo walikutana na TFF na kuomba ruhusa ya kwenda Zanzibar na kwa bahati nzuri wameruhusiwa, hivyo kikosi cha Simba kitaondoka keshokutwa kuelekea Unguja.


Kwa maana hiyo Simba hawatacheza mechi mbili za ligi kuu dhidi ya Mgambo JKT (Januari 4) na  Mbeya City fc (Januari 11) mwakani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video