Tuesday, December 30, 2014

Goran anatua kesho nchini kusaini mkataba wa kuifundisha Simba

RAIS wa Simba SC, Evans Elieza Aveva leo anatarajia kukutana na kocha mkuu wa klabu hiyo, Patrick Ackson Phiri kumtaarifu juu ya kufutwa kazi kufuatia kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo katika michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara.

Simba wameshinda mechi moja, wamefungwa moja na kutoa sare mechi sita, hivyo kujikusanyia pointi 9 katika nafasi ya 10 ya msimamo.

Phiri (kushoto) na Matola (kushoto) wamefukuzwa kazi

Wakati huo huo, kocha Mserbia Goran Kapunovic anatua kesho jijini Dar es salaam kusaini mkataba wa kuifundisha klabu hiyo na taarifa zinaeleza kuwa anatasaidiwa na Mnyarwanda Jean Marie Ntagwabira.


Kwa maana hiyo naye msaidizi wa Phiri, Seleman Matola ‘Veron’ anaondoshwa katika nafasi yake, ingawa yeye atapelekwa Simba B kwa lengo la kukuza vipaji.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video