Monday, December 29, 2014

MANUEL Pellegrini amewashutumu wachezaji wake wa Manchester City kwa kuwaruhusu Burnley kusawazisha mabao yote mawili waliyokuwa wanaongoza na kulazimishwa sare ya 2-2.

Mabingwa hao watetezi walipoteza nafasi ya kuwasogelea kwa karibu vinara wa ligi kuu, Chelsea ambao walibanwa mbavu na Southampton mapema jana jumapili.

“Labda kuongoza 2-0 tulidhani mechi imeisha, lakini mpaka kipyenga cha mwisho mpira unakuwa bado haujamalizika. Hatukuendelea na kasi ile ile”


“Katika mpira, mipira miwili tu inaweza kuamua matokeo. Mwanzoni kwa kipindi cha pili, Burnley walifunga goli la kuotea, baada ya pale, walifunga bao la mpira kwa mpira uliorudi uwanjani  baada ya kugonga mwamba”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video