Sunday, December 14, 2014

MGANDA Emmanuel Okwi amewapongeza wachezaji wenzake wa Simba kwa kuonesha ushirikiano mkubwa katika mechi ya jana ya NaniMtani Jembe 2 ambayo Simba ilishinda 2-0 dhidi ya Yanga.
Okwi amesema alifurahishwa na kiwango cha wachezaji wenzake na ushindi waliopata ni zawadi tosha ya krismasi na Mwaka mpya kwa mashabiki wa Simba.
okwii
“Mechi ilikuwa nzuri, tumecheza kwa kujituma. Kikubwa niwapongeze sana wachezaji wenzangu kwa kuonesha soka safi. Ushindi huu ni zawadi ya krismas kwa mashabiki wetu”. Alisema Okwi.
Okwi alikuwa mwiba mchungu kwa mabeki wa Yanga na alitoa mchango mkubwa katika ushindi huo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video