Monday, December 29, 2014

NYOTA wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain, Lucas Moura amesema Ulaya ni sehemu pekee ya wachezaji wenye viwango vya juu zaidi duniani na kurudi katika soka la nyumbani ni kurudi hatua nyingi nyuma.


“Nitakuwa nimerudi hatua nyuma katika maisha yangu ya soka kama nitarudi Brazil” amesema Winga huyo ambaye  PSG ilimsajili misimu miwili iliyopita kutoka Sao Paulo kwa Euro milioni 45 sawa na dola za kimarekani milioni 55.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video