Monday, December 29, 2014

Screen Shot 2014-12-28 at 10.50.49 PM
RAUNDI ya nane ya ligi kuu soka Tanzania bara ilikamilika jana kwa mechi tatu kupigwa ingawa moja ilichezwa kwa dakika 84 kufuatia kuahirishwa baada ya dakika 6 za kipindi cha kwanza siku ya jumamosi baina ya Mtibwa Sugar na Stand United.

MATOKEO YA RAUNDI YA NANE

Simba SC 0 v 1 Kagera Sugar FC

Mtibwa Sugar 1 v 1 Stand United

JKT Ruvu 0 v 1 Ruvu Shootings

Mbeya City fc 1 v 0 Ndanda fc

Polisi Morogoro 2 v 0 Mgambo JKT

Yanga SC 2 v 2 Azam fc


BAADA YA MATOKEO HAYO MSIMAMO WA LIGI HIYO UKO HIVI

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video