Monday, December 29, 2014

MSHAMBULIAJI mwenye kipaji kikubwa, Mganda Hamis Friday Kiiza ametua nchini leo kudai barua ya kuthibitishwa kuachwa na Yanga.

Kiiza ambaye hakuwahi kuiangusha Yanga katika mechi kubwa hasa dhidi ya Mtani wake Simba amesema hana kinyongo na klabu yake ya Yanga na anaiheshimu sana.

Nyota huyo aliyekataliwa na kocha aliyefukuzwa Yanga, Marcio Maximo amesema baada ya taarifa za kuachwa na Yanga, Simba walizungumza na wakala wake wakihitaji kumsajili, lakini hakuwa tayari kwasababu alikuwa anaiheshimu klabu yake.


Kiiza amesema amepata timu nzuri (hajaitaja) ana atasaini ndani ya wiki saba zijazo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video