Friday, December 5, 2014

JONAS-MKUDE
KIUNGO wa ulinzi wa Simba, Jonas Mkude anaendelea vizuri na anaweza kurudi ndani ya siku mbili au tatu atarudi uwanjani.

Mkude aliugua ghafla jana usubuhi katika kambi ya Simba iliyopo Ndege Beach Hotel maeneo ya JKT Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Daktari wa Simba, Yassin Gembe aliuambia mtandao huu kuwa Mkude aliugua marelia na alipelekwa hospitali.

“Mkude ni kweli amepata marelia. Lakini si kubwa sana, siku mbili au tatu atarudi uwanjani”. Alisema Gembe.


Kwa upande wake Mkude ambaye alipumzika hotelini wakati wa mazoezi ya jana jioni alisema anaendelea vizuri, hivyo mashabiki wasiwe na wasiwasi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video