Friday, December 5, 2014

KIPA namba moja wa Simba SC, Ivo Mapunda amerejea mazoezini baada ya kumzika mama yake mzazi Bi Igasia Nchimbi wiki iliyopita.
Kipa huyo wa zamani wa Yanga, Saint George ya Ethiopia na Gor Mahia ya Kenya aliingia mazoezini  katika uwanja wa JKT Mbweni akiwa na gari binafsi.

Ivo ambaye alionekana kutokuwa na furaha kutokana na matatizo yaliyomkuta alikuwa anarudisha kasi yake sambamba na kipa kinda Peter Manyika Jr.


“Sipo vizuri kutokana na machungu niliyonayo, lakini nimerudi kazini kuendelea na mazoezi”. Alisema Ivo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video