Wednesday, December 31, 2014


Huyo ni Goran Kapunovic,  kocha mpya wa Simba ambaye ametua leo  saa 1:30 asubuhi.


Akiwa uwanja wa Ndege amesema ujio wake Simba anataka kuona anaipa mafanikio timu hiyo,ana kiu ya mafanikio kutokana na kuwa nje ya soka kwa miezi minne sasa, anataka kuanza safari mpya na Simba ambayo kwake ni timu kubwa hapa Afrika, coaching philosophy yake ni work hard,order,discipline  na respect lakini anapenda style ya totally offensive

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video