Friday, December 5, 2014

Cholo mwenye jezi namba mbili

NAHODHA  na beki wa kulia wa Simba  SC, Masoud Nassor ‘Cholo’ amesema kwasasa yuko fiti kabisa na hana majeruhi ya aina yake.
Cholo ambaye anashiriki mazoezi ya Simba kwa asilimia 100 alisema kuwa ana furaha ya kurudi uwanjani na haogopi ushindani wa namba katika kikoso hicho.

“Nimetoka kwenye majeruhi. Ukweli ni kwamba siwezi kuwa fiti kama awaili, lakini najituma kurudisha kasi yangu”. Alisema Cholo.


Kwa kipindi ambacho Cholo hakuwepo uwanjani nafasi yake ya unahodha ilikuwa chini ya Mganga Joseph Owino ‘Gella’.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video