Sunday, December 14, 2014

MFUNGAJI wa goli moja katika ushindi wa mabao 2-0 iliopata Simba dhidi ya Yanga katika mechi ya ‘Nani Mtani Jembe 2’ iliyopigwa jana uwanja wa Taifa, Dar es salaam, Awadh Juma amesema amefurahi kutoa zawadi kwa mke wake ambaye ni mjamzito.
Awadh alisisitiza kuwa kabla ya mechi aliwaza nini atamzawadia mwandani wake mwenye ujauzito pamoja na familia yake kabla ya siku ya krismas, lakini jana akategua kitendawili chake.
KASEJA7
Mechi ya Nani Mtani Jembe mwaka jana, Awadh alimfunga Juma Kaseja na mwaka huu amemfunga Deo Munish
“Nimefarahi kufunga goli, hii ni zawadi kwa mke wangu ambaye ni mjamzito pamoja na familia yangu na mashabiki wa Simba kabla ya Krismas’. Alisema Awadh.
Nyota huyo aliyesajiliwa na Simba msimu uliopita akitokea Mtibwa Sugar alifanikiwa kufunga goli katika mechi ya mwaka jana ya Nani Mtani Jembe iliyopigwa desemba 21 ambapo Simba ilishinda mabaop 3-1.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video