Monday, December 29, 2014

ARSENE WENGER anaamini Arsenal inakusanya nguvu kwa wakati zahihi za kufuzu ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya kuilaza 2-1 West Ham katika mchezo wa ligi kuu England.

Mamao ya Santi Carzola na Danny Welbeck katika uwanja wa Upton Park jana jumapili yalitosha kuwashusha West Ham katika msimamo wa ligi kuu.

Arsenal wamerudi katika mazingira ya kumaliza katika nafasi nne za juu na kufuzu katika michuano ya klabu ulaya.

“Ligi ya mabingwa ni muhimu kwetu,” alisema Wenger. “Tumecheza kwa miaka 17, angalau kwasasa tunaamini tunaweza kucheza tena”.


“Kila mtu bado anaweza kufuzu. Ukiangalia ligi kila mmoja anapigana kwa nguvu. Southampton, Tottenham, Man United, na klabu nyingine nyingi bado zinapigania nafasi hizo”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video