Tuesday, November 18, 2014


Nyota wa zamani Manchester United, Cristiano Ronaldo amekutana tena na rafiki yake, Anderson.


Wawili hao walikuwa wakiitumikia Manchester United kwa pamoja kabla ya Ronaldo kuondoka na kwenda Real Madrid.


Wawili hao walijumuika na Ricardo Quaresma anayeichezea timu ya taifa ya Ureno pia ambayo itaongozwa na Ronaldo kuivaa Argentina ya Lionel Messi katika mechi ya kirafiki itakayopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video