
Mechi nyingine
ilipigwa katika dimba la Manungu Complex Mkoani Morogoro ambapo Mtibwa Sugar
waliwakaribisha ndugu zao Kagera Sugar.
Mechi hiyo
ilichezwa kwa siku mbili kwani siku ya kwanza iliahirishwa baada ya dakika 45
kumalizika kufuatia mvua kubwa kunyesha na wakati huo Mtibwa walikuwa
wanaongoza kwa bao 1-0.
Siku ya pili
Kagera wakaibuka na ushindi wa bao 1-0, hivyo mechi kumalizika kwa sare ya 1-0.
0 comments:
Post a Comment