Friday, November 14, 2014

Mechi nyingine iliyoingia kwenye rekodi ya pekee ni baina ya Mtibwa Sugar iliyopigwa uwanja wa Manungu Complex Oktoba 8 na 9 mwaka huu.

Kinachovutia zaidi ni mechi hii kuchezwa kwa siku mbili yaani Oktoba 8 ilipigwa kwa dakika 45 na kuahirishwa kufuatia mvua kubwa kunyesha na maji kujaa uwanjani.

Katika dakika hizo, Mtibwa Sugar waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

Siku ya pili mechi hiyo ilichezwa kwa dakika 45 za kipindi cha pili na Kagera wakaibuka na ushindi wa bao 1-0.


Hivyo mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1 na hii ni rekodi ya aina yake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video