Monday, November 10, 2014

Mechi nyingine ilipigwa uwanja wa Chamazi Complex, Dar es salaam ambapo JKT Ruvu waliwakaribisha Ndanda fc.
Kikosi hicho cha Fredy Ferlix Minziro kiliibuka na ushindi wa mabao 2-0 ambapo mabao hayo yalifungwa na Najimu Magulu na Samuel Kamutu.
Hata hivyo timu zote zilishambuliana kwa zama, lakini JKT Ruvu wakaweza kuvuna pointi tatu muhimu.

Baada ya kukamilika kwa raundi ya saba ya ligi kuu soka Tanzania bara, msimamo umekuwa hivi.
Ligi kuu itasimama kwa zaidi ya mwezi mmoja na siku kadhaa kupisha mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA baina ya Swaziland na Tanzania itakayopigwa Novemba 15 mwaka huu.

Pia kutakuwepo na michuano ya mataifa ya Afrika mashariki na kati, CECAFA Senior Challenge Cup na michuano ya vijana chini ya miaka 20, Uhai Cup 2014.


Pia kutakuwa na dirisha dogo la usajili ambapo makocha wa timu zote watatumia nafasi hiyo kuongeza makali.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video