Tuesday, October 28, 2014

Mpinzani mkubwa wa Christiano Ronaldo mwaka jana alikuwa ni Messi, je Christiano Ronaldo ataweza kufurukuta mwaka huu?
Mchezaji bora wa FIFA mwaka jana, Christiano Ronaldo pamoja na mshindi wa tuzo hiyo mara nne mfululizo 2009-2012, Andrew Leonel Messi ni miongoni mwa wananandinga 23 walioteliwa na FIFA kugombea tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014 huku klabu za Real Madrid na Bayern Munich zikiongoza kwa kuwa na wachezaji wengi katika orodha hiyo.

Katika orodha hiyo, bara la Ulaya ndilo limetawala kwa kuwa na wachezaji wengi zaidi ambao jumla yao ni wacheza 17, Amerika ya kusini wao wametoa wachezaji 5 huku Afrika ikifanikiwa kuwa na mwakilishi mmoja tu (Yaya Toure). Mshindi wa tuzo hiyo anatarjiwa kutangazwa mwezi Januari mwaka huu.

Orodha ya wachezaji wanaogombania tuzo ya mchezaji bora wa FIA 2014 ni hawa:

Gareth Bale, Wales, Real Madrid
Karim Benzema, France, Real Madrid
Diego Costa, Spain, Chelsea
Thibaut Courtois, Belgium, Chelsea
Angel Di Maria, Argentina, Manchester United
Mario Gotze, Germany, Bayern Munich
Eden Hazard, Belgium, Chelsea
Zlatan Ibrahimovic, Sweden, Paris Saint-Germain
Andres Iniesta, Spain, Barcelona
Toni Kroos, Germany, Real Madrid
Philipp Lahm, Germany, Bayern Munich
Javier Mascherano, Argentina, Barcelona
Lionel Messi, Argentina, Barcelona
Thomas Muller, Germany, Bayern Munich
Manuel Neuer, Germany, Bayern Munich
Neymar, Brazil, Barcelona
Paul Pogba, France, Juventus
Sergio Ramos, Spain, Real Madrid
Arjen Robben, Netherlands, Bayern Munich
James Rodriguez, Colombia, Real Madrid
Cristiano Ronaldo, Portugal, Real Madrid
Bastian Schweinsteiger, Germany, Bayern Munich
Yaya Toure, Ivory Coast, Manchester CityMabali 

Mbali na hiyo, hii pia ni orodha ya makocha wanao gombania tuzo za ukocha bora wa mwaka 2014.

Carlo Ancelotti, Real Madrid
Antonio Conte, Juventus/Italy
Pep Guardiola, Bayern Munich
Jurgen Klinsmann, United States
Joachim Low, Germany
Jose Mourinho, Chelsea
Manuel Pellegrini, Manchester City
Alejandro Sabella, Argentina
Diego Simeone, Atletico Madrid
Louis van Gaal, Netherlands/Manchester United

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video