YANGA YA MARCIO MAXIMO YATUA BUKOBA Kikosi cha Young Africans tayari kimeshawasili salama mjini Bukoba majira ya saa sita kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki na jioni timu inatarajia kufanya mazoezi.
0 comments:
Post a Comment