Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) leo (Oktoba 8 mwaka huu) linaadhimisha miaka 50 ya kujiunga na Shirikisho
la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika kipindi hicho cha miaka 50.
Hafla hii itafanyika katika siku
nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa imeambatanishwa hapa
(attached).
0 comments:
Post a Comment