Thierry Henry ni mmoja kati ya wachezaji nguli wa klabu ya Arsenal |
Henry 37, alijiunga na New York Red Bulls 2010 mpaka sasa ambapo mkataba wake na klabu hiyo unasemakana kumalizika mwishoni mwa mwaka huu ambapo sasa anaweza kurudi zake barani Ulaya mwanzoni mwa January 2015.
Ijapokuwa tetesi nyingi zinasema kwamba ni lazima Henry arudi Uingereza kumalizia soka lake kunako klabu yake ya zamani ya Arsenal kwa awamu ya tatu, wachambuzi wa mambo wanasema siyo rahisi kwa sababu ya uwezo mkuwa wa fedha walizo nazo timu za Ufaransa; PSG na FC Monaco ambao tayari wameonyesha kumuwania nyota huyo.
0 comments:
Post a Comment