Monday, October 27, 2014


Senzo Meyiwa alikuwa ni nahodha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini "Bafanabafana".
Timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafanabafana' na klabu ya Olando Pirates ya nchini humo imepatwa na simanzi kubwa baada ya kumpoteza mlinda lango wao kipenzi, Senzo Meyiwa ambaye alipigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa jana akiwa mjini Vosloorus nchini humo.

"Taarifa zinasema kwamba Senzo Meyiwa 27 alipigwa risasi akiwa katika maeneo ya Vosloorus, maili 20 kutoka jiji la Johannesburg, eneo ambalo hupenda kutembelea mara kwa mara, lakini kwa bahati mbaya Meyiwa alipoteza maisha hapohapo kabla ya kufikishwa  hospitalini". Alisema waziri wa michezo na burudani, Sello More.

Meyiwa alikuwa sehemu ya kikosi cha Olando Pirates Fc  kilicho itandika Ajax Cape Town magoli 4-1  katika mechi ya Telkom Knockout mjini Soweto Jumamosi iliyopita.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video