Friday, October 3, 2014

Klabu ya  Bolton Wanderers  imeamua kumtupia virago aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Dougie Freedman kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kukidhi matarajio ya Bolton.
Dougie Freedman - Bolton Wanderers v Leicester City
Nje!, mbali na kufanya vibaya katika ligi ya Championship, pia Freedman amefanikiwa kushinda mechi moja tu ya UEFA 2014 tangu ligi hiyo ianze.
Ijapokuwa Bolton Wandarerers watashuka ugani Jumamosi ijayo dhidi ya Borleft Bolton, bado mwenyekiti  wa klabu hiyo Phil Gartside  amekokamaa na kuamuru Freedman ambaye amedumu kwa muda wa miaka miwili tu  atundike daluga haraka sana.
Tangu msimu mpya wa wa ligi ya   Football League Championship uanze (ligi daraja la kwanza kibongobongo) The Wanderers imeshinda mechi moja, sare mbili na kupoteza michezo saba kati ya michezo kumi iliyocheza. Kwa maana hiyo anakuwa katika nafasi ya pili kutoka chini baada ya ya Blackpool wanao buruza mkia katika msimamo wa ligi hiyo.
Jimmy Phillip ambaye ni msimazi wa "football academy" ya Bolton Wanderers ndiye anaonekana kupigiwa chapuo kuridhi mikoba ya hiyo ya Dougie Freedman
Kwa sasa The Wanderers wanapambana kufa na kupona kupanda ligi kuu nchini Uingereza baada ya kushuka daraja msimu wa 2011-2012.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video